Ikiwa ni siku moja imepita tangu Mwanamitindo na Mjasiriamali, Jokate Mwegelo ateuliwe na Rais Magufuli kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Hatimaye mwenyewe afunguka jinsi alivyohaha hadi kupata nafasi hiyo.
Jokate amesema mwaka jana alitaka kukata tamaa kwenye maisha yake ya siasa kwani aliona giza mbele yake lakini hakufanya hivyo hii ni kutokana na kupokea maoni mengi kutoka kwa vijana ambao alikuwa anawashawishi kuingia kwenye siasa.

1 comments:
Write commentsCasinos & Games | DrMCD
ReplyThe best online 하남 출장샵 casinos, slots, 강원도 출장샵 video poker, live dealer games, video slots 안산 출장안마 machines, live dealer casinos, online 광주광역 출장마사지 poker 남원 출장샵 games, slots machines, casino online